Recent content by kayeja jr

  1. kayeja jr

    Magari ya Nissan

    mkuu kuna gari ambalo halina roof kweli?? labda wataalam watusaidie
  2. kayeja jr

    Subaru Forester 2008 vs Mazda C5 2012

    ko mkuu unataka kusemaje kwa ndugu zetu Wajereumani?
  3. kayeja jr

    Subaru Forester 2008 vs Mazda C5 2012

    Kwenye aspects zote mkuu??
  4. kayeja jr

    Naomba kufahamishwa haya kuhusu gari aina ya Mitsubish Outlander 2012 model

    kwa sasa inavyonunuliwa kwa kasi soon zitapanda bei kutok hyo 17-19M utashangaa zinafika 21 na kuendlea kama bei zilivyopanda kwa Dualis & forester mwanzon wakat zinaanza kununuliwa Tanzania bei ipo chini kulinganisha na sasa
  5. kayeja jr

    Subaru Forester 2008 vs Mazda C5 2012

    Wakuu nataman kujua kati ya hizi gari mbili ni gari ipi ya kuishi nayo in terms of .perfomance .durability .reliability .efficienty in terms of wese na mazagazaga mengine ila kwenye price naona kam hazitofautiani sana
  6. kayeja jr

    Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    TBS kiasi gani – TZS 350,000 TPA – USD 7.00 per CBM Corridor Levy – USD 0.30 per CBM shipping line fee – up to USD 45.00 CFA – TZS 200,000 Registration inalipiwa pamoja na ushuru, plate ni 28,000 mpaka 35,000
  7. kayeja jr

    Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inapoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini na linavyopokewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari...
  8. kayeja jr

    Jinsi ya kucalculate kiasi cha kodi kinachozidi endapo CIF ya gari itakuwa kubwa zaidi ya CIF ya kwenye calculator ya TRA.

    HAKUNA NAMNA YA KUWAOMBA MAKAMPUNI YA MAGARI KAMA SBT,BEFOWARD ,AUTOCOM KUSHUSHA INVOICE IENDANE NA YA KWENYE CALCULATOR YA TRA??
  9. kayeja jr

    Kuagiza gari hadi kulipia kodi ya bandari

    CIF ya kwenye invoice ya gari ikiwa kubwa kuliko CIF iliyotumika kwenye calculator ya TRA , TRA atatumia ipi kupata kodi yake????
Back
Top Bottom