Ki-uhalisia angetuambia je mwananchi wa kawaida hasa wakulima vijijini wanaweza kupata fursa ya mikopo kwenye hizi bank zetu za hapa ndani? Wataifikia vipi hiyo 10% bila kupata fursa za kifedha? Au atuambie mpaka Sasa hivi tuna VSLA ngapi nchi nzima? Tulitakuwa tuone namna gani ppp inawagusa...
Umeelezea vizuri sana hapo, safari kama hiyo lazima iwe imeandaliwa kitu kinaitwa Journey Management Plan na watu wa logistics & safety wa Tanesco, swali la kujiuliza kwa nini asafiri usiku? Je gari limefungwa mfumo wa kudhibiti mwendokasi? Ni masaa mangapi gani gari la Serikali linaruhusiwa...
Hapa Kuna vitu vingi sana vya kuangalia, lakini yote inachangiwa na mfumo mbovu wa elimu vijana wengi wanakosa maarifa hivyo akili inashindwa kuchanganua vitu kwa haraka na wanaangalia njia rahisi ya kujipatia kipato hivyo wanaishia kucheza Kamari na wizi, lakini pia angalia burudani...
Mngeanza na hili zoezi hapo hapo mlipo jazeni miti kwa wingi mtaonekana tu, Sasa mkifika Dar kwa kuwa mnatembea kwa miguu je pale mtapiga mbizi? Mimi Leo nimepanda miti ya matunda15 kesho 3, tumieni muda vizuri, pandeni miti mhanasishe watu mkiwa hapo hapo mkoani kwenu mtaonekana tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.