Recent content by kay012

  1. K

    Kususa/kununa siyo suluhisho katika mahusiano

    Ukweli saa ingine unanuna kumbe unajiumiza mwenyewe mimi najitahidi kuicha lkn nashindwa sijui ni ugonjwa mungu wangu
  2. K

    Kama uko kwenye ndoa na ukaumizwa na mwenzi wako kwa kuku cheat

    Katika maisha hakuna kitu kigumu kama kusahau utasamehe lkn huwezi kusahau
  3. K

    Swali kwa wanawake wote hapa...

    Haya matatizo wanawake wengi yanawakuta cha muhimu ni kujitahidi kuongea nae nakumuelewesha maisha ya sasa hivi lazima msaidiane.
Back
Top Bottom