Recent content by kauli nzito

  1. K

    Uongozi wa bodi ya Ngorongoro unastahili pongezi kubwa sana

    Pia kuhusu mkaguzi wa ndani uliyemtaja anastahili pongezi nyingi kwani moja ya wajibu wake ni pamoja na kudhibi mianya ,matumizi mabaya ya fedha ya shirika na Taifa kwa Ujumla ambapo leo hii imepelekea pato la serikali kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kuongezeka. Hivyo mtoa habari mwenzangu jambo...
  2. K

    Lowassa akiwa Rais, Mwakyembe na wenziwe wataishi wapi?

    Ni vigumu kama si muhali kujua kwa uhakika nani atakuwa Mrithi wa Rais Kikwete au pia tuseme Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ugumu huo unatokana na ukweli kuwa Siasa za ndani ya vyama na siasa za ushindani ndizo zitakazoamua. Kwa upande wa Siasa za ndani ya Vyama, CCM ina...
Back
Top Bottom