Recent content by kauboi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu kadhaa za kukabiliana na ugumu wa maisha

    Formula yako ya maisha ni nzuri ila ni ngumu kutekelezeka!!!, ila sijaona ukizungumzia suala la mahusiano ya kimapenzi hili nalo limekaaje? Cause linachukua asilimia kubwa kwenye maisha ya binadamu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Basi la Zuberi lapata ajali Singida

    Mungu atunusuru Na majanga hay a ya ajali ya kila mala
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jambazi alieuwa Wilayani Newala akamatwa Mtwara Mjini

    Sasa nimeamini Kuwa polisi imebadilika, kwa sasa tunaimani Na jeshi la polisi, kama ikibainika ni kweli ndio amehusika basi Na yeye ahukumiwe sawasawa Na makosa yake.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dangote live###

    Tuambie kwanza wewe utamwambia non,
Back
Top Bottom