Recent content by katoto kapole

  1. K

    Nini madhara ya kutumia madawa wakati wa ujauzito?

    Naomba mnisaidie kitu wakuu, Hivi mfano mwanamke alikuwa mjamzito akanywa midawa ikamfanya damu zitoke na kukata, ndani ya mwezi damu zimetoka na kukata mara nne akaja tena akatumia Duphastone zile dawa za kuzuia mimba isitoke lakini damu zikawa zinatoka na kukata ila sio nyingi kama mwanzo, je...
Back
Top Bottom