Recent content by katonda

  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

    Nchi hii Ina mambo ya hajabu kabisa Nchinbi ni nani hata aiamuru selekali kuwaachia? Haya mambo tumeyachoka ya kujitekenya Kisha mkacheka wenyewe
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu

    We jamaa sijui umeajiliwa kupotisha watu wa Mungu? Ni aina ya shetani frani haiwezekani ukakompea Majanga ya wautu na watusi na sisi, Pili hilo ni jeshi la ccm Wala sio jeshi la polisi maana hakuna jeshi la polisi linaweza kuegemea upande mmoja kama lilivyo jeshi la ccm. Polisi walishindwa Nini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA imedhoofika na kunyong'onyea mno kisiasa nchini haina maono tena

    Uongo wako hauwezi kutufanya tuamini hata ivyo alie kwambia mambo ya nyumba Jirani ujihusishe nayo ni nani? Fanya ya kwenu huko ya chukua chako mapema(ccm) ndio maana mnajitahidi kutugawa kama mnavyo gawana mali zetu watanganyika
  4. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

    Bukoba manispaa ingekua imebadilika mpaka sasa, ukilinganisha na umri wake Toka tuipate ila viongozi wetu wamehudika pakubwa katika kuikosesha sifa, hata mwonekano unaoipamba angalau kidogo ni kwa sababu ya mabadiliko tulio kua tumefanya ya kuweka viongozi wengi wa upande wa Chadema.
Back
Top Bottom