Recent content by Katetison

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mh. Jaji Joseph Sinde Warioba

    You're right!! Big mind; wasitukane, wajadili kwa uungwana hoja yao, wakijua waamuzi wa katiba hiyo tupo si wao.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Nadhani walioko bungeni wametawaliwa na nidhamu ya uoga, kwani wanajeshi si watanzania? Nani kawazuia kuchukua nchi hii, ni ccm? Ntakuwa na uwalakini nao kama watashindwa kuchukua nchi ktk kipindi hiki ambacho maoni ya wananchi yanapotoshwa, huku wakijidai kuwa ni walinzi wa wananchi wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Mkombozix100! Akili ya ajabu ya wenye div.5. Je bila nyerere Tanzania isingekuwa huru? Je mawazo ya akina mkwawa na watemi wengine yako wapi? Lazima tuwe na mawazo huru tusikubali kuwekwa ndani ya kapu la akili ya mtu fulani.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

    Katiba yao, serikali yao. Ya wananchi bado, tunaisubiri ije. Mie naona wanajiandalia pesa za kampeni.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Mko poa, keep it on.
Back
Top Bottom