Recent content by KateMiddleton

  1. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania Wanawake, Kipi afadhali kati ya kuwa single mother wa tajiri au ndoa na mwanaume mbangaizaji?

    Kikubwa watoto wapate mapenzi ya baba na mama
  2. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania Mwongozo Kamili: Chanzo, Kinga, na Tiba ya Harufu Mbaya Sehemu za Siri

    Wanaume ni wabishi sana kutumia dawa aisee Na wao ndio wasambazaji wakuu wa maradhi
  3. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

    Its a lifestyle na sio crash programme Daily tunakula kidogo/tunachagua tunakula nini Na mazoezi tunachagua yale tunayopenda, so tunaenjoy sio adhabu Jitafiti unapenda nini
  4. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania NMB Yapendekeza Share Split ya 1:10. Fursa Mpya kwa Wawekezaji wa Soko la Hisa Tanzania?

    Why unadoubt na unajua bei itapanda?
  5. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania I am All In..! Liwalo na liwe, nimewekeza Tshs 70m leo na kununua hisa za NMB soko la hisa la Dar es salaam, let's see

    Hii story ya uongo bana Leo palikuwa na wanunuzi ila wauzaji hakuna Alete ushahidi
  6. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ngozi 'Ku glow'?

    Ni neno jipya mbadala wa 'kujichubua'
  7. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanatamani watoto weupe ila hawawataki wanaume weupe

    No wonder unataka mtt white baba black
  8. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanatamani watoto weupe ila hawawataki wanaume weupe

    Ya nini Baltazar Engonga ni mweusi😃?.
  9. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanatamani watoto weupe ila hawawataki wanaume weupe

    Hujitambui Wala huelewi biology
  10. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanatamani watoto weupe ila hawawataki wanaume weupe

    Kwani weupe hawana?.
  11. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

    Nonsense Eti mazingira ya kuruhusu nini
Back
Top Bottom