Recent content by katelaaaa

  1. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Watanzania kuanza kufaidi treni ya umeme Novemba

    Niulize? ulitaka kipi kianze na kipi kisianze Sent using Jamii Forums mobile app
  2. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Maandamano ya Kumpongeza Rais

    Hawa watu utawajua kwa kubadilika kama kinyonga kwanza walimlaumu leo wamebadilika tena futi mia kwakweli ukitaka kumchukia magufuli ingia jamiiforum. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Ngoja waje wenye midomo yao utawasikia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika 100%, Magufuli katika uchaguzi huru na haki, na uwanja wa siasa uliosawazika kwa CCM na upinzani, hawezi kushinda uraisi, na anajua hilo

    Sio mbaya kama anapiga hukuanajenga kumbe ni mwizi mzuri kuliko mwizi anaiba anakaa kimya kama enzi za Kikwete mtu anapiga anabeba kwenye majunia na hawajengi kitu... Kumbe mwizi mzuri sasa
  5. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika 100%, Magufuli katika uchaguzi huru na haki, na uwanja wa siasa uliosawazika kwa CCM na upinzani, hawezi kushinda uraisi, na anajua hilo

    Ili magufuli apendwe na nyie aachie wizi na ufisadi ndo mtampenda live.
  6. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania ATCL na faida ya bil.28 pamoja na uozo wote, God have mercy on me!

    Tena uchawi wa vipande hawa watu wa ufipa akili zao zinawatosha wenyewe
  7. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Ndege, flyover, madaraja na njia nane Dar hazina msaada kwa taifa

    Na akapimwe mkojo si bule
  8. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Ndege, flyover, madaraja na njia nane Dar hazina msaada kwa taifa

    Ukiwa na roho MBAYA ni MBAYA tu kama HUYU jamaa kazidi
  9. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    Ivi kweli Asia jana alivyokuwa anapiga kelele aibiwe kura itakuwaje jamani tuogope mungu.
  10. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    Mzee wa watu hata kusismama shida anampigania Msangi
  11. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    Unaongea nn wakati asia anapiga kelele maaskari wanamwangalia tu
  12. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Chadema mbona imevurunda?

    Sindano zinauma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  13. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    Utaamini tu
  14. katelaaaa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    We tulia sindano ziingie
Back
Top Bottom