Imekuwa kawaida sana tz kusikia Mheshimiwa Rais "dokta" Samia Suluhu Hassan, Mheshimiwa rais "dokta" Jakaya Mrisho Kikwete... n.k
Kwanza kabisa nianze kwa kufafanua (kwa wale wasiojua).
Udaktari wa Heshima (Honorary Doctorate) anatunukiwa mtu ambaye amefanya jambo fulani chanya katika jamii...
Usafi ni utamaduni unaoanza kufundishwa katika ngazi ya chini kabisa. Imagine tunawafundisha nini watoto wetu pale mtu unapomenya ndizi halafu ganda lake unalitupa chini (tena kwenye lami kutoka garini)...inasikitisha. Mtu umemaliza kunywa maji unatupa chupa. Hivi kila mtu angefanya hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.