Recent content by kasulukwetu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Silent Ocean China hawapokei tena lose cargo, wanapokea makontena tu

    Acha mambo zako ww ana mazuri yapi? ambayo amewafanyia watz yaan kubeba CBM 5 za mtu mmoja na kuiba mabilion ya watz ndio. unaanza kujingiza humu jamiiforum kwa ajili ya kuhadaa watu ww subil msumali uingie na tutatoa ushahidi mpaka mtajuta.
  2. K

  3. K

    JamiiForums Tanzania CCM waumbuka Uwanja wa Taifa, Makamba akumbana na nguvu ya UKAWA

    Shukrani mkuu, kwa kutoa taarifa zilizo sahihi kama za Al-jazilaa wasiokubali mabadiliko wapaze sauti na kukanusha haya uliyoyaandika hapa mm mwenyewe nimeshuhudia kwa macho yangu, mpaka kuna Mnageria mmoja wakati Tomas Ulimwengu alipokosa kuwafunga lishikwa na mkali mpaka akaamua kuonyesha...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sitta amjibu Sumaye kuhusu mabehewa mabovu

    Sikuzote hajajibu anasubiri mpaka ukawa wawafungue macho wananchi? amaechelewa sana najua hata mirad inyofunguliwa sasaiv ni fix tuu za uchaguzi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kufuta nyimbozooote za bongofeva

    Kutokana na festa ya jana kunikera nimeamua kufuta nyimbo zoote a hawa wapuuzi ikinzia na diamond domokubwa, i hate them from now.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Nadhan kama angekuwa na ufaham mzuri asinge jihusisha kabisa na huu upuuz wa ccm manake wanaompigia kura apate hizo tuzo wengine ni wa upinzani, sasa asishangae kama kura hazitatosha kwenye tuzo nyingine. after all, hajui siasa kabisa so ningemshauriakpanda jukwaan aburudihe avute mkwanja wke...
Back
Top Bottom