Recent content by Kastori Kalito

  1. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania SoC04 Agro-urban-rural tourism, my Tanzania (kilimo-utalii-mijini na vijijini, Tanzania yangu)

    Hakika ni eneo mhimu katika kujenga Tanzania dhabiti katika nyanja zote kama vile chakula, mazingira, na utamaduni wetu
  2. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania SoC04 Agro-urban-rural tourism, my Tanzania (kilimo-utalii-mijini na vijijini, Tanzania yangu)

    Hakika umesema vema, tunapoteza uasilia taratibu taratibu, licha ya kwamba ukisasa umekuja na fursa kadhaa lakini pia na changamoto zake ni nyingi ikiwemo jadi/asili yetu kupotea. Wazo hili limekuja wakati mwafaka.
  3. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania SoC04 Agro-urban-rural tourism, my Tanzania (kilimo-utalii-mijini na vijijini, Tanzania yangu)

    Kilimo-Utalii ni aina ya utalii unaojumuisha shughuli za kilimo, ambapo wageni husafiri kwenda maeneo yaliyopangiliwa vema ili kupata uzoefu unaohusiana na kilimo na maisha ya vijijini na mijini. Aina hii ya utalii inalenga kutoa uzoefu wa vitendo na kielimu kuhusu kilimo, desturi, na mazingira...
  4. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Kabisaa sifaham kama washindi washapatikana ama la
  5. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Kuna maswali hayana hatupati majibu
  6. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Shindano la Stories of Change(2022)

    Hallo Wadau. Poleni na hongereni kwa majukumu. Naitwa KASTORI KALITO nashiriki katika STORIES OF CHANGE-2022 kwa makala zifuatazo, kalibu usome makala zangu zenye ujumbe wa kunusuru mabadiliko ya tabia ya nchi na namna ya kuawaandaa vijana wa vyuo vikuu na ukivutiwa tafadhali naomba kura yako ...
  7. Kastori Kalito

  8. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

  9. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Shindano la Stories of Change(2022)

    Naitwa KASTORI KALITO nashiriki katika shindano la "STORIES OF CHANGE" 2022 -Jamii forums . Nimeandika Makala mbili kama ifuatavyo; 1.Mitandao ya kijamii, fursa za kimazingira na kijiografia kwa wanafunzi wa vyuo vikuuu, Gundua fursa zisizoonekana 2.Uwanja wa mbele na nyuma ya nyumba kama...
  10. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwanja wa mbele na nyuma ya nyumba kama bustani asilia zenye vitendo vya kilimo mseto katika makazi(mijini na vijijini) kuelekea maendeleo endelevu

    Asante kwa kura yako. Nimeweka makala masaa machache yaliyopita. Natumaini wadau watajitokeza kusoma Makala zangu na watanipigia kura.
  11. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Nimeweka Makala mbili, tembelea "STORY OF CHANGE" makala zangu ni 1. Mitandao ya Kijamii, fursa za kimazingira na kijiografia kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. "Gundua fursa zisizoonekana". 2. Uwanja wa mbele na nyuma ya nyumba kama bustani asilia zenye vitendo vya kilimo mseto katika makazi...
  12. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwanja wa mbele na nyuma ya nyumba kama bustani asilia zenye vitendo vya kilimo mseto katika makazi(mijini na vijijini) kuelekea maendeleo endelevu

    Swali kubwa linaloibuwa mijadala miongoni mwa jamii ni kwa namna gani inawezekana kukidhi mahitaji ya muhimu ya ki-jamii bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo kukidhi mahitaji yao wenyewe. Katika miaka ya hivi karibuni kumeshudiwa uharibifu mkubwa wa mazingira asilia katika nchi ukilinganisha na...
  13. Kastori Kalito

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mitandao ya kijamii: Fursa za kimazingira na kijiografia kwa wanafunzi wa vyuo vikuuu, Gundua fursa zisizoonekana

    Mitandao ya kijamii ikiwemo jamii forums,twitter, linkedin, instagram, facebook n.k vimekuwa nyenzo mhimu katika kutoa habari za ki-eliumu, mazingira, afya, uchumi, kilimo, biashara, jamii, tamaduni, siasa na michezo. hivyo hutoa nafasi ya kufuatilia mafunzo maalumu na kumuwezesha mfuatiliaji...
Back
Top Bottom