Recent content by kassim said

  1. kassim said

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

    Kwa mtazamo wangu naona hili swala linawawia vigumu upande WA pili nikitolea mfano una mke lakini si mwaminifu kwa maana anatoka nje ya ndoa, umefanya juhudi mbalimbali ikiwemo kwenda kwa viongozi wa dini lakini imeshindikana na imani yako inakataza kuacha wala kuoa mwanamke mwingine.
Back
Top Bottom