Recent content by kasomi hezron

  1. kasomi hezron

    Upatikanaji wa leseni ya biashara halmashauri ya wilaya ya Nyasa imekuwa ni tatizo

    Kumekuwa na usumbufu mwingi namna ya kupata leseni ya biashara kwa njia ya mtandao yaani TAUSI PORTAL, hawatoi control number Kwa ajili ya kufanya malipo, ukiomba wana reject na wanapiga simu wakidai uende na hela halmashauri ukalipie, ni usumbufu sana
  2. kasomi hezron

    Peter Kibatala: Kanuni za uchaguzi TLS zinaruhusu mgombea kuchaguliwa/kupigiwa kura hata kama hayupo

    Hivi akisema anachukua form ya kugombea urais tz hapo itakuwaje
Back
Top Bottom