Ukweli kwa ududu na mautumbo ya vijana wako kamanda kova,wananchi hawataacha kuchukua sheria mkononi.
Kikwete amewapa madaraka basi simamieni vizuri au mnataka haje yeye kuwalinda wanafunz.?.
Leo tushukuru wanafunzi wa IFM wametumia busara kuandamana kwa amani,je wangehamua kuwatafuta wahlifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.