Big Up Dr,
Endeleza maandamano mpaka kieleweke nadhani wanajimbo lako wana malalamiko mengi zaidi kuhusu huo mgodi lakini hawakuwa na a kupeleka malalamiko yao, wamekuwa wakitumia njia ya kupeleka barua kwa mama mmoja hapo mgodini ambae ni meneja mahusiano lakini matokeo yake barua hazifiki...
Big Dr komaa nao, ubunge wako mwaka huu labda wakologe kama kawaida yao, kwn nacikia huyo Seleleii anashirikiana na mwa mama mmoja wa hpo nzega hapo ni mwanga kinoma kuwa makini watakumaliza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.