Recent content by kasindaga14

  1. kasindaga14

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahaha nimecheka Sana bro
  2. kasindaga14

    Msaada wakuu, kuna mtu anaweza kuniangalizia namba ya NIDA?

    Kaka mfano umepotza kitambulisho Cha nida au una namba tu ya nida Bata kuwa na copy yake tu kwenye mtandao wao naweza kupata Ile copy
  3. kasindaga14

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mechi ikirudiwa maana yake inarudiwa dk zilizosalia kma zilibaki dk 20 Basi mpira utachezwa kwa dk 20 tu bila kuathiri matokeo ya awali matokeo yataendelea kuwa vile vile labda asawazishe maana yake mfano dk 20 zilizobaki apate goli tatu bila
  4. kasindaga14

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeongea nao na wamesema asije kukupigia mtu yyte kusema umtumie Ela ili akuwekee Ela yako au ikiingia mpe Ela kidogo wamenikataza
  5. kasindaga14

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu natumaini humu wazima na hamjambo na Kama Kuna mwenye matatizo Basi mungu atakusaidia na atapona Lengo ni kutaka kujua Kuna mdau mmoja akituma walaka kuhusu bodi ya michezo ya kubashiri Tanzania kuwa wamepata malalamiko ya watu kutolipwa Ela zao na betpawa na kusema wanashughulikia ili...
  6. kasindaga14

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani betpawa wanatutesa najuta kwanini nilibet huu mkeka na betpawa leo siku ya nne wanashindwa kunilipa Ela yangu naishi kama masikini hata Ela ya maji nakosa wakati Nina maokoto yangu mazuri tu wikiendi iliyopita nilimpata kwann betpawa amekuwa mzinguaji kiasi hicho kibaya Zaid ukipiga no...
  7. kasindaga14

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka na siku ya tatu hawanipi ela
  8. kasindaga14

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa mpka Sasa hawajanipa Ela yangu toka Jana na sijui nawapataje kiongoz
  9. kasindaga14

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakubwa naomba mnisaidie kupata mawasiliano ya betpawa no zao walizoweka kwenye App Yao kuwapata ni ngumu sana
Back
Top Bottom