Recent content by Kasi kazini

  1. Kasi kazini

    JamiiForums Tanzania Nimeokota kadi ya pikipiki ya Miriam Nitume

    Hii kadi niliiokota maeneo kaloleni Arusha nyuma ya kanisa la pentecoste kaloleni Kama una mfahamu naomba umjulishe nimejaribu kulitafuta hilo kwenye mitandao sijalipata Nimeenda pia wanapouza pikipiki kuangalia kama wanamfahamu ili nipate mawasiliano yake sijampata Kama atasoma hapa au kama...
  2. Kasi kazini

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotumia usafiri wa bodaboda

    Ndio mkuu hapa Arusha.
  3. Kasi kazini

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotumia usafiri wa bodaboda

    Usalama wako ni kitu cha muhimu mkuu.
  4. Kasi kazini

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotumia usafiri wa bodaboda

    Tanzania boss
  5. Kasi kazini

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotumia usafiri wa bodaboda

    Siku hizi usafiri wa bodaboda ni usafiri maarufu sana hapa nchini na watu wengi wanautumia usafiri wa bodaboda kwenda kwenye majukumu yao mbalimbali. Wewe kama ni (mtumiaji) wa usafiri wa bodaboda. Naomba nikupe mambo machache ya kuzingatia unapotumia usafiri wa bodaboda. Haya mambo nayaandika...
Back
Top Bottom