Mara ya mwisho mimi nilinunua wheelchair pale ilipo DTV (zamani ilikuwa Odeon Cinema), opposite yake kuna duka linauza vifaa vyote ambavyo vinatumika mahospitalini k.m vitanda vya hospitali, wheelchairs, darubini etc, yaani ni vitu vingi tu. Nilinunua mwaka jana kwa bei ya Tshs.250,000, sielewi...