Tumetoka kutalii na kufanya shoping, mlichotutuma tumewaletea. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumetoka kutalii na kufanya shoping, mlichotutuma tumewaletea.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lokissa, Aug 16, 2012.

 1. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  [​IMG][​IMG][​IMG]
   
 2. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kweli kabisa tazama mabegi makuuuuuuuuuubwa
   
 3. peri

  peri JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  halafu nashangaa mapokezi makubwa na mau wakati hakuna walichofanya
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hao ni akina nani?
   
 5. m

  markj JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,750
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Cheki, hata aibu hawaoni, waajabu kweli hawa watu
   
 6. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 355
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mcheki huyo wa mwisho daa
   
 7. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,443
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  wivu wenu tu.... nani kawakataza kushiriki :spy:
   
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanatabasamu utafikiri wamefanya kitu cha maana kumbe wanatukebehi sababu hatujafika ulaya kama wao.
   
 9. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Wametakata c mchezo!!!
   
 10. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,159
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  waacbheni viajana wa watu wakae mbona mkuu wa kaya kila siku yupo huko na hakuna anachopkuja nacho zaidi ya kubembea na kupigas picha ambazo hawa vijana walibanwa na ratiba wakashindwa kupiga.
   
 11. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hawa ingetakiwa wazomewe.
   
 12. k

  kashubi New Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: May 2, 2007
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tusiwalaumu sio makosa yao, wamejitahidi hata kule kupeperusha bendera yetu ni heshima kubwa. Kilichobaki ni kutafakari na kutafuta kosa liko wapi litafutiwe ufumbuzi ili ifikapo 2016 tuweze kujipanga vizuri tukijifunza kutokana na makosa yetu ya awali.
   
 13. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nakumbuka msemo wa mzee ruksa, tutabaki kuwa kichwa cha mwendawazimu
  ile kauli ya HANDO wa clouds alipowaombea wakienda huko washindwe imetimia
  nadhani serikali iangalie upya suala la wachezaji na wapewe vipaumbele
  na wachaguliwe wanaostahili kulingana na fani zao.
   
 14. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,009
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Kauli ya mzee ruksa ya KICHWA CHA MWENDAWAZIMU itadumu milele na milele mpaka ukamilifu wa dahari.
   
 15. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Aibu yao aibu yetu.
   
 16. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sasa mbona wanawapiga picha nyingi ivo?
  kwani wamefanyaje?
   
 17. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kuonyesha namna vijana walivotoka shopping
  kumbe hujawahi zawadi? bahati yako mbaya
   
 18. r

  roy allan Member

  #18
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  washukuru mungu nchi yetu ni ya utawala wa haki na sheria lakin ilibi kama vp wanaporudi wanafkia kambi ya ya jeshi kuwafunza uzalendo na mapenzi kwa nchi yao
   
 19. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,044
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 280
  Makosa yanajulikana ila hakuna wa kuyatatuwa, au viongozi wetu hawajalipa kipaumbele. Michezo kama ya riadha, unatakiwa ukimbie umbali flani kwa muda flani. Wachezaji wetu wanapelekwa tu ilimradi washiriki hata kama hawajafikia kukimbia muda unaotakiwa kwa mshindi wa kwanza. Mashindayo ya Olympic siyo ya kubahatisha kama mashindano ya Umisi. Tatizo hapa kwetu kila kitu kinageuzwa kuwa mradi wa kuingiza pesa, sijui ni lini pesa za wavuja jasha zitatumika kwa umakini!
   
Loading...