Habari zenu wana Jamvi, Majina halisi naitwa Kashmir Waziri nimekuwa nikitafuta kazi kwa muda mrefu pasipo mafanikio yoyote hii nikutokana na connection ambazo sina za watu wenye possibility ya kupata kazi.
Kama kuna kazi yoyote wana jamvi niko tayari kufanya bila kuangalia Elimu yangu...
Habari zenu wana Jamvi,
Majina halisi naitwa Kashmir Waziri nimekuwa nikitafuta kazi kwa muda mrefu pasipo mafanikio yoyote hii nikutokana na connection ambazo sina za watu wenye possibility ya kupata kazi.
Kama kuna kazi yoyote wana jamvi niko tayari kufanya bila kuangalia Elimu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.