Naomba mtu anayejua au anamfahamu daktari wa saikolojia MUHIMBILI , aniunganishe nae au anipe mawasiliano yake. Kuna mtot wa dada yangu anajisikia vibayani mda sasa.
Sijabisha kama kuna watu wa muhimu ila ndoa hivyo kuwapata sasa. Sasa mbona pm yako mbona hifunguki?? Watu wote humu ni wa maana tu ila tunatofautiana.
Mimi nina shida jamani naomba kama kuna mtu anajua au anamfahamu psychologist (Msaikolojia tiba) yeyote toka Muhimbili hospital akisaidiwa namba ake mimi niko huku tabora.
Kuna mgonjwa anaumwa. Sasa tulikuwa na shida na psychologist (msaikolojia tiba)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.