Recent content by KASHASIRA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhari

    Mimi kijana naishi mkoa wa Kagera naomba ushauri nina Mtaji wa Milioni Moja nimeplani kufanya bihashara ya Internet cafe je inawezekana kwa mtaji wangu na kama haiwezakini ni bihashara Gani naweza kufanya kwa kiasi kidogo cha fedha nilicho nacho. Ushauri Tafadhari.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Boss nilipe nisepe
  3. K

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa

    KOmputa ndogo (laptop) inauzwa Chato anayehitaji tuiwasiliane kwa namba 0753627288
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa anae itaji til ya m-pesa (wakala)

    Kaka sema bei pia sema upo maeneo gani ili tuone kama ni rahisi kuipata
Back
Top Bottom