habari za sa hizi dr..
Ninaomba ushauri juu ya hii hali yangu.
Sijui nina sumbhliwa na nini, lkn ninajihisi kizunguzungu, vile vile napatwa na woga sana, hofu inanizidi hasa ninapotaka kuongea mambo ya msingi.
Vile vile napatwa na maumivu ya kifua sometyme, maumivu ya misuli ya kwenye uume na...
Habari za sahizi wanajamvi,
Naombeni msaada wa kunijuza ninasumbuliwa na ugonjwa gani nina muda wa mwezi sasa nimekuwa nikipata maumivu ya kiuno, kuchoka kwa mwili lakini pia hali imendelea kuwa sio nzuri mpaka nimeanza kuhisi maumivu madogo sehemu za ndani za milija ya kupitisha mkojo, pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.