Naombeni msaada nasumbuliwa na ugonjwa ambao nashindwa kuuelewa

K

Kashasha4444

Member
Joined
Aug 12, 2019
Messages
5
Points
20
K

Kashasha4444

Member
Joined Aug 12, 2019
5 20
Habari za sahizi wanajamvi,

Naombeni msaada wa kunijuza ninasumbuliwa na ugonjwa gani nina muda wa mwezi sasa nimekuwa nikipata maumivu ya kiuno, kuchoka kwa mwili lakini pia hali imendelea kuwa sio nzuri mpaka nimeanza kuhisi maumivu madogo sehemu za ndani za milija ya kupitisha mkojo, pamoja na hayo nimeanza kukosa kabisa hamu ya faragha.

Tafadhali naomben msaada juu ya jambo hili.
Asanteni
 
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
11,563
Points
2,000
zeshchriss

zeshchriss

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
11,563 2,000
Nenda kituo cha afya kilicho karibu nawe ukapate tiba
 
Ziroseventytwo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
5,398
Points
2,000
Ziroseventytwo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
5,398 2,000
Nenda kwanza kamwone dr, akishindwa tatizo lako ndio uje huku.
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
2,146
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
2,146 2,000
UTI kubwa ..ila siku ingine usikimbilie mtandaoni jaribu kufika hospital kwanza for confirmation
 
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
305
Points
1,000
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
305 1,000
Nenda kajieleze kwa faktari,
Usilete mzaha na afya yako
 

Forum statistics

Threads 1,325,448
Members 509,127
Posts 32,192,776
Top