Recent content by kasali

  1. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya alteza inauzwa kwa 5 Millions

    Milion 3 unachukua Sent from my SM-M105G using JamiiForums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

    Mwenye link mechi ya leo simba na yanga tafadhari naomba nipo mbali Sent from my SM-M105G using JamiiForums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Brevis inauzwa

    Chukua 3 Sent from my SM-M105G using JamiiForums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Vikindu mili 35

    Nyumba ya kisasa ina vyumba vinne master jiko, siting room, dining umeme na maji ipo bararani njia ya kwenda kiwanda cha plastiki Vikindu madafu ina eneo kubwa limebaki unaweza kupiga simu namba 0712231000 na 0788442375
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tunauza bajaji na boxer vipo mbagala zakhem kwa bei nafuu

    Bado sijauza ndugu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tunauza bajaji na boxer vipo mbagala zakhem kwa bei nafuu

    Nina shida na pesa kaka niweze kuongezea mtaji wangu wa biashara
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tunauza bajaji na boxer vipo mbagala zakhem kwa bei nafuu

    Kaka sio mbaya ila kama unahitajika kwel ongeza laki mbili tu nikuachie vyote
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tunauza bajaji na boxer vipo mbagala zakhem kwa bei nafuu

    Nauza Bajaji tvs shilingi milioni mbili na laki nne(2,4000,000) na pikipiki boxer laki tisa tu (900,000) kwa maelezo zaidi kama umepungukiwa au kuziona namba ni 0655634017 vyote vipo mbagala Dar
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kilichopimwa kinauzwa kimbiji Kigamboni

    Kiwanja kimepimwa kipo kimbiji kigamboni kipo sehemu nzuri karibu na mji WA evic town bei ni milioni kumi mawasiliano 0655634017 kwenye hiyo ramani kiwanja namba 244 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa kigamboni

    Wadau kiwanja kipo kigamboni kimbiji kiwanja namba 244 Bei ni shilingi milioni kumi pungufu unaongea Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Sasa utanisaidiaje Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba nyimbo ya Friday night ya Mr nice Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu mwenye ujuzi WA kusafirisha samaki nje ya nchi

    Samaki Aina zote wanaopatikana baharini mfano tasi vibua pweza kamba jodari changu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu mwenye ujuzi WA kusafirisha samaki nje ya nchi

    Nataka kufahamu jinsi ya kusafirisha samaki nchini Omani vitu muhimu bei jinsi ya kupaki muda ila kwa njia ya ndege Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu mwenye ujuzi WA kusafirisha samaki nje ya nchi

    Kama tangazo linavyojieleza naomba nifahamu jinsi ya kusafirisha samaki kwenda Omani bei jinsi ya kuwahifadhi na usafiri hasa kwa njia ya ndege Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom