Recent content by Karumba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Walimu waliokataa kuunga mkono wenzao katika mgomo hawa hapa!

    Wengine hamjui walimu wanapata mishahara kiwango kipi.jamani ni aibu.mke wangu mshahara wote ni nauli tu kwa mwezi.kaamua akae nyumbani hata akifukuzwa sawa tu.tujadili kwa kuangalia uhalisia.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, askofu Kakobe asante...

    Nakubaliana na mtoa mada mia kwa mia.maombi ya miaka mitatu hayawezi kuisha bila majibu.Mimi naliita kanisa lile KANISA LA MAOMBI.
Back
Top Bottom