Recent content by Karl Marx

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wasichana warefu watam sana

    Kwa kautafiti kangu kadogo nlikokafanya nmegundua kwamba wanawake wenye urefu wa kuanzia ft 5.6 ni warembo na kwenye mambo yetu yaleeee ndo wenyewe Msichana mwenye urefu kuanzia ft 5.5 anitumie private message tuwasiliane.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kunani humuuuuuu?????

    Asanteni nyoooote. Nawapenda sana na tutakuwa pamoja humu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

    Haachwi mtu hapo......we wamlisha maharage kila siku unafkiri hatajamba??? Vilevile unataka kutuambia kwamba unatumia mini kabang au???
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nianzeje kutafuta mke???

    Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu. Nataka nianze kusaka jiko cjui pa kuanzia.....nielekeze lolote kuhusu hili tafadhal!!!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nipo humu……Ctaki fujo!!!

    Asanteni sana wadau. Jinsia: ME
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nipo humu……Ctaki fujo!!!

    thikumbuki ata kipindi kileee tunalipa sh. mia ya upe
  7. K

    JamiiForums Tanzania Njoo bas

    natafuta mrembo mmoja tu. awe mrefu km mm (ft 6.3) na kiujumla awe na akili timamu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania wanaume piteni hapa....

    Mwanaume anasifiwaaaaaa '''KAZZZZ''''
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nipo humu……Ctaki fujo!!!

    Mm ni '''nyu memba''' wa hili jamvi wajameni naomba ushirikiano wenu. Nawwanda thaaaaaaaaannnnnnaaaaaa!!!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kunani humuuuuuu?????

    Natumia jina linaloonekana juu hapo Karl Marx na naomba wanajamvi mnipokeeee!!! nmekuwa nikifuatilia jamvi hili kwa mda sana nikaamua sasa nami kujiunga ili niweze kushiriki. Asanteniiii
Back
Top Bottom