Idadi ya watu wenye virusi vya Corona nchini Japan imeongezeka na kufikia 218 baada ya Wizara ya Afya nchini humo kuthibitisha maambukizi ya watu wengine 44 waliokuwa kwenye meli ya Diamond Princess.
Meli hiyo ipo chini ya uangalizi maalum wa siku 14 na abiria wametakiwa kubaki ndani yameli...
Habari zenu mimi ni mgeni humu JF nitafurahi kama mgenijuza, kanuni ama sheria za tovuti hii kuuliza sio ujinga. Naomba maelekezo tafadhali hata ukinitajia sheria moja tu itafaa, nitashukuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.