Recent content by karekwachuza

  1. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

    Je, ikithibitika kama ni kweli?
  2. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania Waliochapwa na DC Arusha na kulazimishwa kulipa fedha bila kufikishwa mahakamani waombe msaada wa kisheria kumshtaki DC

    Hakika huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu,huyu mkuu wa wilaya kwa kuwa alikuwa anataka sifa kwa magufuli basi hana budi kufunguliwa mashtaka
  3. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania Dar: Yanayojiri Mkutano wa Simon Sirro na Wanahabari

    Simuelewi huyu mtu,uchaguzi kura zimepigwa za bandia yeye hasemi,anakimbila kumsifu tu bwana mkubwa,watu wameuawa,watu wamefungwa kwa makosa ya uongo yeye hasemi,watu wameumizwa wala yeye hasemi
  4. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kadiri siku zinavyosogea wanachama na wafuasi wa CHADEMA wanatepeta

    Wewe umetumwa endelea kutumika,hakuna kitu kama hicho,CCM ndio mmetepeta
  5. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zikiwa zimebaki siku 20, wapinzani wanashindana huku akili na mioyo yao ikiamini mshindi ni Magufuli

    Acha ushamba mlishakaririshwa mwaka huu sio ccm tena bali lissu ndio Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,we bweteka na magufuli
  6. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

    Wewe jidanganye Lissu ndiye Rais october 2020
  7. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

    Maufuli alifunika kwa kusomba watu na malori pamoja na wanafunzi na walimu ambao kwa siku hiyo alipiga marufuku kwenda shule
  8. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

    Hakika lissu ni mwanaume,upepo wa magufuli umebadilika kabisa
  9. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Mikutano ya kusomba watu na magari pamoja na wanafunzi pia waalimu, wamestisha masomo kwa ajili ya mkutano huo,haiingii akilini kabisa,subiri tarehe 28 october
  10. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Ila kuna watu sijui wanatumia makalio kufikiria,yaani magufuli jinsi anavyojinadi kwa mambo yale yale aliyovurunda eti unasema amzidi kura Lissu?hiyo haitokei kabisa,na ndio Rais wa kwanza kuongoza kwa muhula mmoja,hutaamini na utaamini ikifikia octoba 28
  11. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Hata hivyo kumbuka lissu anakubalika sana kuliko magufuli,magufuli inabidi afannye mikutano mingi ili ajisafishe,lissu ni kidogo tu watu wamemuelewa.
  12. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

    Usitegemee maelekezo kila mara.hayo maelekezo mwisho wake umefika sasa
  13. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

    Wewe unaesema kura zipi subiri,una mnadi magufuli kafanya nini? Yaani atadhinda kwa kura nyingi sana, we yako hatuihitaji we mpe Magufuli kwa kuwa unafaidika nae
  14. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

    Kaka lissu hahitaji kujinadi kwenye TV huyo kashinda kwa kishindo maana mpinzani wake ambaye ni Magufuli ni dhaifu sana,
  15. karekwachuza

    JamiiForums Tanzania GE2020 James Mbatia (NCCR-Mageuzi) v Charles Kimei (CCM) - Jimbo la Vunjo

    Huyo msaliti wa nini,acha apigwe chini
Back
Top Bottom