Recent content by Kareem97

  1. K

    Simba SC Tusimkufuru Mungu

    Kwani wewe shida yako hapo nin ?? Si tunazungumzia nan kasota muda mrefu ama ??
  2. K

    Simba SC Tusimkufuru Mungu

    Nikuweke sawa tu Ubingwa ulifuatana kama ivi Yanga Azam Yanga Yanga Yanga Hapo Simba kakaa misimu Mitano Katoka kapa Ikafuata Simba Simba Simba Simba Hapo Yanga amekaa misimhe
  3. K

    Chiko Ushindi sio mbovu kama tunavyoaminishana

    Unaongea hayo sababu kwasasa yanga wako vizur ila unaweza sena umuache flan ili upate hatari zaidi ukaenda kupigwa za uso
  4. K

    Kikosi changu bora cha Ligi Kuu NBC mzunguko wa kwanza

    Kwan nan kuwepo kwenye hio list kwa kuzingatia pafomansi zao katika round ya kwanza ???
  5. K

    Kikosi changu bora cha Ligi Kuu NBC mzunguko wa kwanza

    Huu ni mtazamo wangu kuhusu kikosi changu Bora cha mzunguko wa kwanza NBC premear League 1: Djigui Diara 2: Djuma Shabani 3: Mohamed Hussein 4: Henock Inonga 5: Bakari Mwamnyeto 6:Yanick Bangala 7: Leurant Lusajo 8: Khalid Aucho 9: Fiston Mayele 10: Feisal Salumu 11: Said Ntibanzokiza SUB...
  6. K

    Unadhani watani watadondosha point kwa timu zipi?

    kuna wewe shabiki wa mpira halafu kuna viazi wa mpira 😅😅
  7. K

    Mtazamo wangu Yanga vs JKU jana

    Umeandika vizuri kiasi kulingana na uelewa wako Ila hapo kwa job na Mwamnyeto vs Ninja hapana Ninja ni beki mzur sana ila tatizo lake moja ni papara, anatumia nguvu sana kwenye uchezaji wake kama ukicheza dhid ya washambuliaji hatari na wepes bas tegemea penat muda wowote ule Pia ninja pasi...
Back
Top Bottom