Recent content by karango

  1. K

    Posho ya nyumba kwa watumishi wa Serikali waliopo chini Mkoa wa Morogoro

    Ndugu wana jamvi naomba kuuliza kwa yeyote mwenye ukweli kuhusu hili, kuna mtumishi mmoja kanidokezea kwamba hizo hela huwa zinaliwa, wengi huwa hawapewi na hawapewi maelezo. Naombeni msaada kwa watimisi wote
  2. K

    Wapiga kura wa CCM Zanzibar 181,837 kuwakosesha Watanzania millioni 49 ruzuku ya MCC

    gesi na madini sahau na unatakiwa kuongelea baada ya miaka mia ndio mikataba ya kina chifu mangungu itaisha
  3. K

    Baraza hili limelenga kujenga demokrasia zaidi, amani zaidi na mshikamano wa kitaifa zaidi

    cjajua mnataka nini. Hebu tupeni na wake zao wanatoka wapi kama mume mzanaki mke mzaramu basi mzaramu akipata c na mzanaki kapata mi cioni tatizo ila ukanda wametufunza mafisiem
  4. K

  5. K

    Wizara ya Kilimo na unyeti wake kwa maslahi ya Taifa

    Jamani sijui huwa kwa nini naamini hivi, ili tujukwamue hapa tulipo sasa, tunahitaji Waziri wa Kilimo mkwelina mchapa kazi. Tunahitaji mtu ambae atamshauri vizuri JPM bila unafiki wa kisiasa kufufua mazao yote ya biashara na mkulima apate kipato kinachojibu changamoto za maisha kwa mfano...
  6. K

    Je, Katiba mbovu ya nchi imeanza kuwageukia wenyewe CCM?

    yaani mkuu wa mkoa ANAJIBEBISHA kwa manji lazima kuna jipu hapo inabidi mtumbua majipu awahi
  7. K

    Maoni: Wabunge wa UKAWA toeni tamko kumtambua Rais Magufuli kwa masharti haya...

    tunampa nguvu ili asilegeeee kama aliyepita c unaona isue ya ada elekezi ashaufyata eti waongeze ada tuu kama kuna ulazima. Vipi na waliopokea mv-dar es salaam nao watimbuliwe. HUYU TUNATAKIWA UKAWA TULE NAE KORIKORI ILI ASILEGEE TUKIAACHIA CCM WATAMLEGEZA MAPEMA.
  8. K

    Utata jengo la Serikali lililochukuliwa na Azam Kurasini

    Hivi unakumbuka isue ya Ng'ano ya huyo bosi wa Azam. Usikute ni malipo ya ule uharibifu waliofanya viongozi enzi zile. NDIO MAANA JAMAA HAWATAKI KUACHIA NCHI NGO. Hebu ulizeni ni mali gani za wizara ya kilimo alipewa kama fidia msiendelee kumlaumu bure unaweza kukuta hana kosa
  9. K

    Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    angalau 2500000 kwa mwaka ni 208333 kwa mwezi mtu awe na watoto 4 kima cha chini cha mshahara duuu. Au hizi shule binafusi ni kwa ajili ya majizi?
  10. K

    Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    ungejaribu kujastifai kauli yako kwa takwimu ili tuamini kuwa haitoshi. Usisahau jk na jpm walikula dona harage wali wiki mara moja sasa hao wa fweza utaanza na chips kuku ili tu isitoshe.
  11. K

    Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    kama wewe unalipwa 36500000 kwa mwezi mlipie mwanao asome ila kama ulikuwa unatumia za 10% pole sana ndugu. Mpeleke shule ya serikali alafuvmnunulie vitabu vingi uwezavyo. Huo ni ushauri tu.
  12. K

    Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    tatizo moja mnapia hesabu za chips kuku. Wanafunzi wanatakiwa kula dona maharage wali mwezi moja.
  13. K

    Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    kama wewe unalipwa 36500000 kwa mwezi mlipie mwanao asome ila kama ulikuwa unatumia za 10% pole sana ndugu. Mpeleke shule ya serikali alafuvmnunulie vitabu vingi uwezavyo. Huo ni ushauri tu.
  14. K

Back
Top Bottom