Recent content by Kaplizer

  1. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Nataka nifunge camera chumbani kwa kijana wangu! Nina wasiwasi anafanya vitu visivyofaa

    Kikubwa nenda shuleni utapewa list yake Kisha utajua tabia tuu.. kuhudu cameras acha unaingilia privacy yake
  2. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Nauza Ariston water heater ya bafuni (15lt)

    Ushakaa mbweni au kigamboni au any coastal beach plot?
  3. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Nauza Ariston water heater ya bafuni (15lt)

    Kuna sehem dar bila blanket hulali.. sijui unalijua Hilo au umekariri dar ni kariakoo shimoni
  4. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Nauza Ariston water heater ya bafuni (15lt)

    Q 185,000
  5. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Nauza Ariston water heater ya bafuni (15lt)

    Bila ya kusahau ufundi bure kwa mteja..
  6. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Nauza Ariston water heater ya bafuni (15lt)

    Nauza water heater brand ya Ariston ni kubwa na imara. Hii ilifingwa bafuni lkn sijawahi tumia kwa kutofikiwa na huduma ya maji ya dawasco nimeona niitoe niuze. Lete OFA Yako nikusikilize.. Location: Dar popote unafikiwa 📞 0792503090
  7. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kifaa cha kuwasha taa za solar Outomatically

    Hiyo ni 220v yeye kauliza ya 12 v
  8. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania KERO Mgao mkali Wa umeme Urambo, Kaliua, Biteko tusaidie mitaji inakufa..

    Ndugu hizo ni siasa tuu sehemU Nyingi Kuna waya tuu lkn umeme wa uhakika hamna kiukweli ni siasa tupu
  9. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania KERO Mgao mkali Wa umeme Urambo, Kaliua, Biteko tusaidie mitaji inakufa..

    Kiukweli wafanyabiashara na wakazi wa Kaliua na Urambo tunateseka sana.. umeme kwa siku unakatwa zaidi ya mara nne na kiukweli haukai zaidi ya saà sita. Kibaya zaidi TANESCO huku hawana lugha nzuri na huduma mbovu. Saluni na biashara nyingi za umeme zimekufa. Msaada wenu Mods Uzi huu uwafikie...
  10. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwenye fursa ya Kobe, eneo nilipo wanapatikana

    Lete ofa mkuu nijue nafanyaje
  11. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwenye fursa ya Kobe, eneo nilipo wanapatikana

    Lete ofa mkuu nijue nafanyaje
  12. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwenye fursa ya Kobe, eneo nilipo wanapatikana

    MNa hatari mkuu
  13. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwenye fursa ya Kobe, eneo nilipo wanapatikana

    Wakuu nipo mkoa mojawapo wa Kanda ya magharibi hapahapa Tanzania 🇹🇿. Nipo maporini kidgo kwenye fursa ya kilimo..lakini eneo nilipo huku Kuna Kobe wengi maporini. Vipi Kuna fursa ya kuwauza au Na ni hatua Gani Za kufuata nisisumbuke na mamlaka husika,
  14. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Wababa wenye magari, kwanini mnasimama kwa dakika kadhaa kabla ya kuingia majumbani mwenu?

    Kua uyaone Kuna kitochi hcho chenyewe hakiingii ndani kamwe.. Huwa kinafichwa kweny gar
Back
Top Bottom