Recent content by kapinda ngoyo

  1. K

    Wauza nafaka tukutane hapa

    Nauza unga wa mahindi dona na sembe kwa jumla, yaan nasagisha mwenyewe na kupak kwenye viroba, karbu tufanye biashara, tani zozote unazohitaji nakuletea had kwenye biashara yako ilpo
  2. K

    Stiegler Dam, Taasisi za Kimataifa Vs. Magufuli

    According to EMA, EIA is mandatory na zpo project zmekua rejected nchi hii hasa zile za senstive area ambzo it impact maginitude n very high so EIA process ndio itatupa muelekeo so nakubaliana na ww kabsa kuwa kuptia EIA ndio tutajua likely impact both environment and social and possible...
  3. K

    Hivi jimbo la Kisarawe lina Mbunge?

    Hosptal ya kisarawe jaffo kalet standing jenereta uhakika wa umeme n 24/7, kajenga motuary kwenye uongoz wake na hosptal zote kazipa ambulance hzo ulizo zitaja na moja haina zaid ya miez....na hosptal ya kisarawe kuna majengo mapya ya wodi Istoshe kwenye elimu jaffo foundation inasomesha...
Back
Top Bottom