Recent content by KAPANYA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vitu vya lazima kuwa umevitimiza at age 40

    mmenifurahisha sana jamani. yaani mmetoka kabisa kwny hoja.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amelipiza kisasi,nifanye nini.

    mhh hiyo kali kaka, msamehe mkeo ila amekudhalilisha sana, haipaswi kulipiza kisasi, angemwomba Mungu akusamehe maana ipo siku nawe Mungu angekuadhibu kwa kutokuwa mwaminifu. huyo ni mkeo amefanya hivyo, je huyo girl friend wako unamwamina km upo peke yako? naye ndo kwanza anamwingine maana...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili nitawachukia wanawake milele. Na sitowasamehe.

    pole kakaangu, ila inauma sana, lkn sio kila mwanamke yupo hivyo, huwezi amini, Muombe Mungu jitoe kwake kikamilifu hakika atakupatia mke mwema. huyo hakuwa mkeo bali hukujipanga sawasawa kuomba Mungu ili akupe mke mwema. jipange usikate tamaa utapata mke mwema atakutuliza majonzi yote. ila...
  4. K

Back
Top Bottom