Wanamshambulia bure mama wa watu, hizi walizotoa ni zile Za kujaza gaps zilizoachwa na Watumishi walikokuwa na vyeti fake. Hizo elfu54 ni ahadi ya mwaka wa Fedha 2017/18 ambao ndo kwanza umeanza.
Tuwasubiri mwaka ndio kwanza umeanza
Some Pipo buana! Kila kitu ku criticise tu[emoji134]♂️
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...mwenye shida na hizo ajira akikusikia anaweza kukula nyama hakyanani.
Usiache kuja kufuta kauli yako hapa...JPM atakuumbua siku si nyingi, heshima ya Utumishi wa Umma pamoja na Maboresho ya maslahi ya watumishi yako kwenye pipeline...Mtambo Karibu utatema!
Mhe. Kairuki jana hakuwa Kinondoni, alikua akiongea na Watumishi wa Manispaa ya Temeke. Chennel ten wamemlisha maneno, ukisikiliza clip hakuna anaposema hawatalipwa au watalipwa.Alichokisema ni kwamba waliobainika kughushi vyeti watachukuliwa hatua za Kinidhamu kwa mujibu wa Sheria,Kanuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.