Recent content by Kanzastone

  1. K

    Msamaha wa DPP Kwa aliyekuwa DG wa MSD ndugu Laurean Bwanakunu na Hatima ya Wahanga wa Uongozi wake MSD

    Nakusisitizia tena ndugu afande kuwa achana na umbeya unaopewa na aliyekuwa DHRA dhidi ya watumishi waliowaonea kwa kuwabambikia makosa ambayo ni ya uongo. Genge hili la uhalifu wa haki za watumishi linalowajumuisha; Bwanakunu, Victoria Elangwa, Robert Biah na Frank Nkone mikono yao imejaa damu...
  2. K

    Msamaha wa DPP Kwa aliyekuwa DG wa MSD ndugu Laurean Bwanakunu na Hatima ya Wahanga wa Uongozi wake MSD

    Na katika hili, tunampa ushauli wa bure huyu afande Mkurugenzi Mkuu wa sasa wa MSD akae mbali na hujuma anazoendelea kuzifanya Victoria dhidi ya watumishi waliohamishwa ama kufukuzwa enzi za Bwanakunu pamoja na kwamba Bwanakunu na Victoria wameshaondolewa MSD Maana kwa tetesi nilizozipata leo...
  3. K

    Msamaha wa DPP Kwa aliyekuwa DG wa MSD ndugu Laurean Bwanakunu na Hatima ya Wahanga wa Uongozi wake MSD

    Ooh yes, well said my friend!! Taasisi hizi mbili kwa maana ya Idara ya Utumishi na Tume ya Utumishi ni UOZO mtupu. 1. Idara kuu ya Utumishi inatumika kama uchochoro wa kuwakomoa na kuwaharibia utumishi watu bila sabababu za msingi. Maamuzi ya uonevu ya wakuu wa taasisi yanabarikiwa na Idara...
  4. K

    Msamaha wa DPP Kwa aliyekuwa DG wa MSD ndugu Laurean Bwanakunu na Hatima ya Wahanga wa Uongozi wake MSD

    Kinachozungumzwa hapa ni utawala au uongozi unaofuata sheria ndugu yangu, nothing more nothing less! Hata kwenye sector binafsi kusipokuwa na ufuataji wa utawala ama uongozi wa sheria basi watu watakuwa wanafukuzwa kila kukicha kwasababu tu mwenye kampuni kasema wewe toka, hatuwezi kufika huko...
  5. K

    Mbunge Shigongo: Nimewasiliana na Rais ili aziangalie upya hizi Tozo za miamala ya simu

    Zungu tunamsubili kwa hamu sana Ilala uchaguzi wa 2025!!!
  6. K

    Waziri wa Elimu anasimamia asichokiamini? Mwanae anasoma English Medium

    😆😆😆😆😆😆uchonganishi, uzushi na majungu ndio tabia na jadi ya watu kutoka Kigoma. Yuko radhi amharibie mwenzie ili yeye apande. Kuna kijana mmoja yuko hapa Bohari ya Dawa MSD ni mshenzi balaaa anaitwa Frank Nkone. Huyu kijana kaharibia wenzake kimajungu mpaka wengine wamefukuzwa kazi na wengine...
  7. K

    Msamaha wa DPP Kwa aliyekuwa DG wa MSD ndugu Laurean Bwanakunu na Hatima ya Wahanga wa Uongozi wake MSD

    Ndugu Laurean Bwanakunu alikuwa ni DG wa Bohari ya Dawa - MSD tangu Julai/August, 2015 pamoja na kuwa ujio wake uliacha maswali mengi sana, nafikiri siri ya ujio wa Bwanakunu Bohari ya Dawa anaijua zaidi aliyekuwa Waziri wa Afya kipindi hicho na aliyekuwa Mbunge wa Rufiji ndugu Seif Rashid...
  8. K

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango atambue utendaji mbovu wa MSD umechangiwa na mambo haya

    Ni kweli kabisa ndugu yangu! Lakini huyu Victoria Elangwa ni mshen.zi kabisa, that woman is totally unethical na integrity yake katika ku-handle staff issues ni zeero kabisa, hafai kuwa kiongozi. Kaharibu sana mafaili ya wafanyakazi ikitokea anataka kumfanyia kitu kibaya mtumishi Ilifikia...
  9. K

    Waziri Ummy: Masoko na Stendi zote zinazomilikiwa na TAMISEMI kujengewa Visima vya Maji ili kukabiliana na moto

    Hopeless kabisa hawa mawaziri wetu. Eti kujengewa visima!!!
  10. K

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango atambue utendaji mbovu wa MSD umechangiwa na mambo haya

    Well said my friend!! Iko hivi, huyu Victoria Mwanri Elangwa kabla ya kuja MSD alikuwa anafanya kazi TMRC - Tanzania Mortgage and Refinance Company ambapo Mkurugenzi wake alikuwa ni Oscar Mgaya ambae ni kaka wa aliyekuwa DG wa MSD ndugu Joseph Mgaya. Kipindi alichoomba kazi Vicky MSD DG alikuwa...
  11. K

    Huyu trafiki kumkaribia hivi Rais sio hatari?

    Kwakweli siku zote nimeshindwa kuwaelewa hawa walinzi wa mama, sometimes wanakuwa kama ni makauzu vile. Hata mpambe nae ADC nae iko shiida kidogo, hebu tena kidogo wanaweza kuwa walinzi wazuri. Mama akiwa anashuka au kupanda kwenye ndege ndio utaona haswaa ukauzu wao😆😆😆 to extent kwamba hawajui...
  12. K

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango atambue utendaji mbovu wa MSD umechangiwa na mambo haya

    Tangazo la nafasi ya kazi ambalo ndilo lililompelekea Victoria Elangwa kupata nafasi ya Mkurugenzi wa Utawala MSD mwaka 2013 lilisema anatakiwa mtu aliyesomea Human Resource Management au Public Administration lakini yeye Victoria hakuwa na hizo sifa kwasababu yeye alisoma mambo ya Sociology...
  13. K

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango atambue utendaji mbovu wa MSD umechangiwa na mambo haya

    Well said my friend!! Kwakweli huyu kijana Frank Nkone ni kirusi kibaya sana kwenye taasisi, na nafikili hata kwenye taasisi alikotoka alikuwa ni kirusi. Nilimwonea huruma sana afande DG alivyoamua kuingia kichwakichwa kwa huyu kijana kirusi wa kuharibu future na utumishi ili yeye afanikiwe...
  14. K

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango atambue utendaji mbovu wa MSD umechangiwa na mambo haya

    Kwenye paragraph ya 10 hapo juu nimejaribu kueleza tabia mbovu sana ya mjungu na fitna za huyu kijana anaeitwa Frank Nkone hapa ofisini kwangu Bohari ya Dawa - MSD Kwa jinsi alivyokubuhu kwa majungu huyu kijana and very unethical kabisa, nakumbuka huyu kijana aliajiliwa na wenzake kama 3 hivi...
Back
Top Bottom