Congo ina wachezaji wengi ulaya so wa ligi za africa hawana nguvu sana kwenye timu zao za taifa labda nchi kama tanzania ambao hatuna mastaa wengi ulaya
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Wanasimba punguzeni maneno jamani huwezi jua maana timu yenu mnacheza baadae mnaweza mkafa tatu kwenu huu mpira ujuee alafu yanga kashindwa game mojaa bado safari ndefuu
Nikweli nimeona wamepost hii habari kwenye app yao ya betpawa lakini sasa mbona hawajaupost huo mkeka wa mshindi wa juu zaidi wa milioni 370 badala yake wamepost mkeka wa milioni 6 tuu tutaaminijee waupost huo mkeka wa milioni mia tatu tuone
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.