Recent content by kantalambaz

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wadau tusiache Kumwombea huyu Fundi (Na Mafundi Wengine Mbalimbali) Kila napomfikiria Machozi yananitoka

    Weka kapicha vinginevyo hii ni hadithi kama yingine tu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

    Pole sana ndugu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa askofu Konde aondolewa wakfu. Fimbo, msalaba na pete yake vyaondolewa wakfu pia. Sasa atabakia kuwa muumini wa kawaida

    Utamu kitu ingine wewe acha kumlaumu huyo mtumishi wa Bwana naye ana haki ya kula utamu ambao Mungu wetu ameuumba kwa ajili yetu sote.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuacha kunywa pombe

    Kuna tofauti ya kulewa pombe na kunywa pombe Kulewa pombe ni pale ambapo unatabia ya kunywa pombe mpaka ulewe chakari ndiyo unardhika mtu wa aina anaitwa mlevi Kunywa pombe kwa upande mwingine ni kunywa kiasi kidogo cha pombe kama kiburudisho tu au sehemu ya chakula na si lazima unywe kila...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuacha kunywa pombe

    Punguza kunywa pombe na baadae uache kabisa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

    Wewe kama dereva uliyefuzu unapaswa kuju taratibu za zebra crossing, vinginevyo urudi shuleni.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

    Hapo kwa kuongezwa mshahara umekosea sana kama ndiyo kigezo chako Unajua mshahara umeongezwa shs ngapi au unasema sema tu?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa watoto kwenda boarding ni kuanzia miaka mingapi

    Watoto wakimaliza shule ya msingi ndiyo wanafaa kupelekwa boarding, nje ya hapo uwe na sababu ya msingi sana, vinginevyo wapeleke kabla ya muda huo lkn hiyo itakua at your own risk. Have made myself clear?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu atelekeza kazi baada ya malipo ya mshahara wa Tsh 34,000 kwa mwezi

    Labda alikopa kwa ajili ya kwenda kuanza maisha ya kujiajiri sasa harakati hizo akajikuta analazimika kua mtoro kazini ( japo hiyo siyo sababu ya msingi) na alikoenda napo shughuli zake zikabuma na mikopo nayo ndiyo bado anadaiwa,tena mokopo mingine ni mikopo umiza.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Unaofanywa na Wachina

    Isijekua ni vita vya kibiashara Kumbuka kua reli ya TAZARA ilijengwa na wachina mwanzo mwisho.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Risasi zinarindima Kigamboni darajani

    Bikra 72 unataka watu watengenguke viuno?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite kufungwa kuangalizia fainali UEFA, Serikali iko wapi?

    Labda Nchi yetu inalipwa pesa nzuri kwa ajili ya zoezi hilo. Vinginevyo hiyo sawa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha kifo cha Habibu Halahala aliyekuwa mpiga picha wa Hayati Mwalimu Nyerere?

    Alipigwa na tail rotar ya helicopter wakati akitafuta angle zuri ya kuchukua picha ya Mh Rais na kufa papohapo .
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

    Kuthibiti wezi na wahalifu siyo kazi ya polisi peke yao Kabla ya kulaumu polisi umechukua hatua gani hapo ulipo?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

    Matukio yamezidi kuongezeka sasa hivi ukilinganisha na wakati huo. Jitahidi kuelewa.
Back
Top Bottom