Recent content by kantaboy

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi UDSM computing Centre (UCC )- Dr. Minja ahusishwa kashfa nzito

    tatizo la ucc, ukisoma toka magazeti yaanze kuandika , shida kubwa inasemekana ni huyo Mkurugenzi Dr Minja. hiyo nafasi aliyopewa ni kama vile hana uwezo nayo. halafu inaelekea hana mahusiano mazuri na wafanyakazi..naona wanalalamika anawanyanyasa. ngoja tusubiri uchunguzi wa tuhuma...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi UDSM computing Centre (UCC )- Dr. Minja ahusishwa kashfa nzito

    Inasemekana kufungwa kwake ni sababu binafsi..na malizote zilizokuwa mbezi beach branch zimeharibika kwa kunyeshewa na mvua plu jua
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi UDSM computing Centre (UCC )- Dr. Minja ahusishwa kashfa nzito

    gazeti la RAI la leo nao wameandika pia kuhusu huyo mkurugenzi....inasemekana anawanyanyasa sana wafanyakazi.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi UDSM computing Centre (UCC )- Dr. Minja ahusishwa kashfa nzito

    kwa wiki kadhaa naona magazeti yanaripoti madudu ya mkurugenzi wa UDSM- computing Centre Hivi ni kwa hawamu hii watendaji wa Serikali bado wanacheza na mali za uma Inasemekana mali ya mamilion ya walipa kodi zimeharibika huku shule watoto bado wanakaa chini Uongozi wa chuo kikuu unabidi utolee...
Back
Top Bottom