E TUTAFIKA?
Soma mwanangu elimu ni ufunguo wa maisha, nitasoma mpaka chuo kikuu ili niweze kulitumikia taifalangu na kuikomboa familia yangu kiujumla, nafikili nita kapo maliza shahada yangu nitaajiriwa katika kiwanda cha urafiki, mimi nitakuwa miongoni kati ya wafanyakazi wa...