Recent content by kang'ombe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi Za Kazi (labour Offices) Zilipo Temeke

    Habarini Za Asubuhi Wapendwa? Naomba Kuelekezwa Mahali Zilipo Ofisi Za Kazi/labour Office, Kwa Manispaa Ya Temeke. Nitashukuru Sana!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nina utata kuhusu hili la Sekretarieti ya Ajira

    Utahira-utaahira? Complecate-complicate?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nina utata kuhusu hili la Sekretarieti ya Ajira

    Ushauri mzuri, asante ndugu,ngoja niufanyie kazi!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nina utata kuhusu hili la Sekretarieti ya Ajira

    Asante sana ndg..
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nina utata kuhusu hili la Sekretarieti ya Ajira

    Kuna nafasi za kazi zilitangazwa na sekretarieti, nikatuma maombi na kwny application zng nilitumia majina matatu km ilivyo kwny vyeti yaani 1st,middle,na surname. Kwny tangazo la usaili walitoa majina mawili,1st na middle name tu.Nikauwauliza wakasema haina tatizo, marekebisho...
  6. K

    JamiiForums Tanzania A cry for help!!

    Mimi ni kijana Mtanzania. Nimehitimu chuo kikuu mwaka Juzi na kwa muda wa miezi 5 sasa nimekuwepo hapa DSM nikihangaika kutafuta ajira bila mafanikio. Ninaishi kwa Mtu ambaye pia ana maisha magumu but kaamua tu kunisaidia ili nisogee karibu na huduma za ajira. Juzi nilipokea. Simu kutoka...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Utumishi, tatizo ni nini?

    Wamepigiwa watu wa kanzidata ya kada gani mkuu?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Utumishi, tatizo ni nini?

    Una uhakika na unachokisema mkuu?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Utumishi, tatizo ni nini?

    Mwezi uliopita kulifanyika saili za kada mbalimbali na hawa utumishi, na kwa baadhi ya kada, waliahidi kutoa majibu baada ya wiki 2, Leo mwezi umekatika! Ni bora mngekaa kimya kuliko kutoa ahadi, mnaboa kweli kweli...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Utumishi kupiga simu baada ya oral interiew

    Kama nilifanya interview na sikuwepo kwenye majina ya kupangiwa vituo vya kazi, inawezekana nikawa nimefeli au nimekosa nafasi. Nitafahamu vipi Kama nimewekwa kwenye kanzidata (database)?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waliotuma maombi ya kazi Redcross kupitia Posta imekula kwao

    Wametoa majina au wamewapigia simu?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Red cross society, USAILI

    Jamani, Kuna posts zilitangazwa Novemba na hawa Red cross society, vipi,washaita watu kwenye interview?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nina digrii ya elimu ya jamii (SOCIOLOGY)

    0659086832. Piga tuzungumze au tuma sms.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nina digrii ya elimu ya jamii (SOCIOLOGY)

    Pole sana na mungu akusamehe coz hujui ulitendalo.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nina digrii ya elimu ya jamii (SOCIOLOGY)

    asante sana mpendwa.
Back
Top Bottom