Recent content by kangaroo spire

  1. K

    Mbunge kusimama Bungeni kutaka Rais aongezwe muda wa kukaa madarakani. Je, Umewasiliana na waliokutuma uwawakilishe hapo Bungeni au ni mawazo yako?

    Kwa hoja hii, inashangaza Sana na inasikitisha, sijui wamechoka amani waliyonayo au shibe imepitiliza katiba tulinayo ipo wazi. Kama gains Cha kuongea bungeni piga usingizi, ujatumwa hayo na wananchi
  2. K

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kwa nini mnafanya hivi Vodacom, kuanzia mwezi wa kumi, vifurushi vyenu havikai, mtu unanunua kifushi Cha wiki ndani ya saa au siku kimeisha wakati ujafanya chochote, kuweni na huruma kwa pesa za wenzenu, kwa nini nilipie wiki, na huruma iishe kabla, waliosomea Sheria msaada please,
  3. K

    Unatamani Uwaziri wakati umeomba kazi ya Ubunge!

    Hofu yangu hakuna kiongozi wa kiafrica, anayeleta maendeleo kwa anayewaongoza, mfano mtu akiteuliewa kuwa waziri utashanga ananza kufanya ujenzi wa makazi yake kupora ardhi za wananchi hii Ni aibu, viongozi waliojaa tamaa, mzalendo aliwa baba wa taifa hatari Mel nyerere
Back
Top Bottom