Recent content by Kang

  1. Kang

    JamiiForums Tanzania AI inatengenza tabaka jipya kwa developers

    Ndo hapo tatizo, wa kukode kwa mkono watakuwa kwenye disadvantage kama hao wakulima wa jembe wengi ni maskini wa kutupa. Hiyo kutapeliwa na John Deer ndo maana ni muhimu tools zetu ziendelee kuwa open source au open weights ili akina Sam washindwe kutu lock inn hapo ndo model za Mchina zinazidi...
  2. Kang

    JamiiForums Tanzania Ni tamaa za wahindi walioanza kuwa ceo wa makampuni ya tech au? kwanini sikuhizi software nyingi unalipia kila mwezi au mwaka badala ya moja kwa moja?

    Kama mteja hata mimi nachukia hili ila ukiangalia upande wao inaleta maana. Software hasa za kisasa zinazotegemea server zina gharama zinazoendelea baada ya mteja kuipata kwa hiyo kuuza kwa one time sale haileti maana kibiashara, siwezi kukuuzia app kwa mara moja kisha niendelee kuisupport na...
  3. Kang

    JamiiForums Tanzania AI inatengenza tabaka jipya kwa developers

    Msaada ambao una bei kubwa na unaweza kuwatenga watu kutokana na uwezo wao wa kulipa.
  4. Kang

    JamiiForums Tanzania AI inatengenza tabaka jipya kwa developers

    Ndo ninachosema past vs future, developer wa kuandika code anayeyuka duniani, code zaidi na zaidi inaandikwa na ai agent, bado usimamizi ni muhimu ila hilo nalo linaanza kupotea. Mwisho wa siku tunaelekea ambapo kuandika code kwa mkono itakuwa kama hoby ya kihistoria na kujifurahisha kama...
  5. Kang

    JamiiForums Tanzania AI inatengenza tabaka jipya kwa developers

    Kabla ya AI kwa ujumla kila developer ambaye alikuwa na access ya computer na internet alikuwa na uwezo wa kuandika software kutegemea na uwezo na juhudi zake mwenyewe, tools karibia zote za programming, ide, compiler, frameworks learning material zilikuwa zinapatikana bure au kulikuwa na...
  6. Kang

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Janga zito toka TTCL kwa wafanyabishara wa Wi-Fi

    Kama ukichomeka PC kwa waya ikifanya kazi basi na router itafanya kazi kutakuwa na swala la configuration inabidi ucheze nalo upande wa mikrotik yako, ikishindikana hilo itabidi uweke PC in the middle ttcl--> Linux PC --> router yako. Technically hauwezi kuzuia hilo kwa kuwa ttcl router itaona...
  7. Kang

    JamiiForums Tanzania Yas App: Ukipoteza ua ukibadili simu hautaweza tena kutumia App

    Ukienda ofisini hawatatui? Ni poor design kama una sim card yao sielewi kwanini hawawezi kuhamisha.
  8. Kang

    JamiiForums Tanzania TCRA watupe maelezo ya huu upuuzi

    Lazima uelewe lengo, lengo la serikali sio kuendeleza chochote ni control, kwa kuforce domain wanayoweza kukontrol ni rahisi kwao kuzima yoyote anayeleta shida, TZ sio sehemu ya kufanya kitu chochote kipya kwenye tech, miaka kadhaa iliyopita walikuwa wanapiga kelele za "Silicone Zanzibar" sijui...
  9. Kang

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kukumbuka Data Zinaoza!

    Hili ni kumbusho kuwa karibia hifadhi zote za data zinaoza baada ya muda fulani, kitu ambacho ni muhimu kuzingatia. HDD (Hard Disk Drive) Zile mechanical ambayo haitumiki zinaoza baada ya miaka 2-20 kutegemea na ubora wa drive na hasa mazingira iliyohifadhiwa, mazingira ya TZ ya joto na...
  10. Kang

    JamiiForums Tanzania App ya Voucher Master

    Umekosea spelling ya Emergency kidogo.
  11. Kang

    JamiiForums Tanzania Computer engineering vs Computer science

    Hakuna tofauti kati ya hizo kiajira. Zote sidhani kama zina soko kubwa TZ.
  12. Kang

    JamiiForums Tanzania App nzuri ya ku-record calling kwa Google pixels.

    Tatizo sio app tatizo ni kwamba Google wameondoa zile Api kabisa za kunasa sauti kwa ajili ya call recording katika Pixel kabla ya 9 so hata app zinapata shida kunasa sauti za upande wa pili, kwa hiyo kama unataka recording ni bora kununua simu ambayo ina uwezo huo ndani yake teyari bila...
  13. Kang

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani?

    Optimizing Apps ni feature ya Android ambapo apps zinakuwa dex recompiled kuongeza ufanisi, hii inafanyika mara pale unapofanya update ya Android au marabnyingine update ya App Hii haitakiwi kutokea mara kwa mara au kila unapowasha simu. Jaribu yafuatayo: Kama una apps za "Cleaner" "Optimizer"...
  14. Kang

    JamiiForums Tanzania Waya wa Display port unatoa picha kali kuliko waya wa HDMI

    Mwaka na waya sio tatizo kubwa unaweza kununua monitor leo ambayo ni ovyo kuliko hizo mbili. Inabidi uangalie spec na technology za hizo monitor. Kwa vile dp na hdmi zote zinadeliver digital signal ile ile hakutakuwa na tofauti kama settings ni zile zile, kujihakikishia hilo tumia monitor...
  15. Kang

    JamiiForums Tanzania Msaada kuinstall windows 11 kwenye Microsoft Surface Laptop

    Kurudi nyuma kutakusumbua bora utatue tatizo la hizo app zinazogoma au fanya update ya hizo app kama zipo.
Back
Top Bottom