mbona ameeleza vzuri sana. changamoto tulionayo watanzania au africa kwa ujumla ni elimu ndogo ya biashara.
mfano unakuta bidhaa unayoenda kununua dubai jumla unakuta huku kwetu reja reja ni bei rahisi kuliko reja reja dubai penyewe licha ya gharama ya usafiri uliolipia. maana yake ni kwamba...
hiki kitu hua nakipinga kwa hasira sana. yani unafanya biashara alafu haitakiwi uguse hata sumuni ya kula kwamba itafilisika. maana yake iyo biashara haiwezi kukulisha wewe na familia yako, sasa kwanini ufanye biashara ambayo haiwezi kukuhudumia?
lkn ukifatilia historia ya uanzishwaji wa dini ya kikristo naweza kukubaliana na mwandishi.
yesu alikuwa ni myahudi, je wanaomfuata yesu kwanini sio wayahudi kama yesu?
walianzisha dini inayoitwa ukristo wanadai wanaishi na kufuata miiko ya yesu, je kwanini hawafuati dini yake?
swala...
kaka mimi nilijaribu kuutafuna wenyewe na nlipona ndani ya siku tatu tu. ni mchungu ila kula mpaka kinyesi kigeuke rangi alafu acha. ila uzuri siku ya kwanza tu unaona mabadiliko. lkn kujidunga naskia ni chap kwa haraka hata saa moja humalizi maumivu yanaisha
Msaada tafadhari kwa yeyote mwenye office table au anaejua mahala naweza pata kwa bei isiozidi 80000 anisaidie
Pia kama kuna mtu anauza kitanda anaweza nitext inbox tafadhari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.