Recent content by Kamundu

 1. K

  Rais Magufuli amchenjia Makonda?

  Nyani Ngabu, Hakuna lolote hapa kwanini bado anakazi na wakati mwingine watu wanatumbuliwa kwa vitu vidogo sana
 2. K

  Tume Huru ni ile itakayomtangaza mgombea Urais wa Upinzani mshindi

  Wewe ni vichekesho mkuu wa majeshi na tume huru vina uhusiano gani?😂 unajichanganya. Tume huru ni muhimu kama ni huru kwanini chama kimoja kiogope wakati ni huru? Wajumbe na wawakilishi wa vyama wawepo yaaije kutokea haya ya serikali za mitaa au yule msukule wa Zanzibar 2015. Ni swali zuri kwa...
 3. K

  Ole Sabaya: Mbowe, nyumba inawaka moto na maridhiano yaanzie ndani ya chama chako

  Webmaster topic za Sabaya ni za kujitangaza mwenyewe hana tija. Na yeye ndiyo mwandishi hapa anajifanya ni watu wengine. Futa hizi topic zake za kijinga.
 4. K

  Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe ajivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga CCM

  Informer, Maajabu ya Tanzania mtu anagombea wenyekiti wa Chama halafu baada ya mwezi eti mawazo yake ni tofauti😂😂. Je unaamini sera gani halafu wanatoa sababu za kibinafsi ambazo sijasikia watu wamehama CCM kwa sababu hizo. Ni bora watu wachache makini kuliko wengi ambao hawana tija
 5. K

  Je, Lengo la kupata 99% ya wawakilishi linanufaisha taifa?

  Pascal P uko wapi kuchangia hii?
 6. K

  Ole Mushi: Serikali ina lugha gongana, imekuwa ikitudanganya tunanunua ndege, kujenga reli & Stieglers kwa fedha zetu kumbe tunakopa

  Watanzania wanafanywa kama watoto wasioelewa😂. Wajua ni uongo na subiri upinzani uchukuliwa kila kitu uone hata message kama hizi hautaruhusiwa ujue hilo hasa kama wewe ni CCM
 7. K

  Kesho mambo kuwekwa hadharani miradi yote iliyotekelezwa na Serikali "CCM imejipanga"

  Hii maradi si ya CCM ni ya taifa na tunakopa pesa wote na tunalipa wote. Kizuri tofauti na zamani tunajua hayo kwasababu watoa mikopo wako wazi.
 8. K

  Je, Lengo la kupata 99% ya wawakilishi linanufaisha taifa?

  Kila siku kuna watu wamekuwa wanajisifu kwamba CCM itapata 99% ya wabunge. Kama watapata kwa njia halali kitu ambacho hakiwezekani kutokana na tofauti za Watanzania.Tatizo litakuja pale tu serikali itakapo lazimisha na haya ndiyo tutayapata 1. Vikwazo vya kiuchumi au viongozi kuwekewa...
 9. K

  Nyie mmefuatiliwa tangu mwaka 2016 na sasa mmenaswa, hamtaweza kuchomoka safari hii

  Viongozi wengi hata wa South Africa walisema hawezi kupelekwa huko kwa mabeberu sasa imekuwaje na jeshi lake kubwa😂. Tanzania utamaduni wetu umezidi wa hawa kwa mgawanyiko hivyo sisi ni rahisi zaidi kutosana kuliko hawa tuwe makini
 10. K

  Kilichonishangaza kwenye Taarifa ya habari, ni chombo kimoja kilichorusha habari ya Makonda. Huu ni utaratibu mzuri dhidi ya Mabeberu

  Ujinga kwako sio ujinga kwa taifa. Swala la Makonda sio la kitaifa ni binafsi
 11. K

  Kwanini mnawaza Marekani inataka kuizuia Tanzania isiendelee?

  Uko sawa Watanzania ni watu wa kupenda kujitungia mimi nimeishi hapa US kwa miaka 20 sasa najua A-Z nimekuja kabla hata Clinton hajaondoka hivyo nimekaa na Maraisi wanne (4) sasa. Tanzania USA wanatupenda na kutubana si kwasababu ya kuchukua rasilimali lakini ni kutafuta urafiki maana EAC...
 12. K

  Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

  Ukiwa masikini Tanzania ni pa gumu sana.
 13. K

  Diplomasia (Sio Ubabe) Itumike Kurudisha Uhusiano Mzuri Baina ya Tanzania na Taifa la Marekani

  Asante kwa maono. Huu ndiyo ukweli na kama huwezi basi ngatuka maana Nyerere naye aliondoka kwa manufaa ya taifa kwasababu asingeweza kuongoza kwa misingi aliyoiita ubeberu. Kuna wakati unafanya vitu kwa manufaa ya nchi. Tumekuwa wepesi wa kulalamika sana.
 14. K

  Hoja ya zuio la wagombea uchaguzi Zanzibar ni mizengwe dhidi ya Maalim Seif Sharrif Hamad, haina mashiko

  Lissu ni kitu tofauti huyu mzee anakaa sehemu hiyo kwa miaka 40, hajatoaka nje ya nchi. Lissu hayupo Tanzania wala bungeni kwa miaka zaidi ya miwili. Hizi kesi hazina uhusiano wowote. Seif hajabadilisha makazi yake. Kubadili Chama sio kubadili makazi ina maana watu wasio na chama hawana makazi...
 15. K

  Hoja nzito: Sumaye asema CHADEMA badala ya kupambana na CCM kwa Hoja wao wanashindana na polisi ambao hawatawaweza

  Huja nzito kwa mgombea aliyeshidwa ! mbona hajatoa hizi sababu wakati ule
Top