Recent content by Kamuli

  1. K

    Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Hivi viongozi wetu wako sawasawa kweli? Zaidi ya vikao sijaona kikubwa walichofanya kuondoa mgawanyiko uliopo. Tahadhari tu jamani: mgonjwa anapong'ang'ana kusema haumwi ilihali anadalili zote za maradhi na hali yake inazidi kuwa tete muandalie jeneza tu kwa sababu hana tofauti na aliyekata...
  2. K

    Beter late than never!!

    Nguzo kuu ya taifa lolote duniani ni watu, na wao ndio wanaopaswa kutoa maamuzi ya mwisho kuhusiana na maswala yanayohusu taifa lao. ni taratibu nzuri kwa watu kuchagua wawakilishi wanaoamini watapaza sauti kwa niaba yao na kutoa maamuzi yatakayonufaisha taifa kiujumla. Bunge ndio muhimili wa...
Back
Top Bottom