Nimegundua kitu, moja wapo ya resolutions za CHAI CHUNGU ilikua ni kutupia post nyingi iwezekanavyo mwaka huu 2013 na kweli anatimiza hilo!
Hongera sana:A S 41:
1. Mko wangapi kwenye limtandao lenu? Tulizaneni.
2. hhehheheh nacheka mbavu sina hapo kwenye bold...ndio anavokudanganya? Angemuoa in the first place?
3. Ushauri wangu - achaneni na hao spouse wenu oaneni muone kama na nyinyi mkiwa pamoja 24/7/365 kama mtaendelea kuivana hivo hivo!:mad2:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.