Si mawaziri wasukuma tu ambao wamesahau majimbo yao, makabila mengine vivyo hivyo. Kagera ni katika mkumbo huo huo! Barabara, maji, shule, na huduma za usafiri kwa ujumla wake ni duni. Unaweza kuongezea makabila kama......!
Tukumbuke kuwa majimbo kiutendaji yapo kwenye wilaya na mikoa -ambayo...